Swalaah Ya Ijumaa: Wanaume Kuswali Ijumaa Misikitini Wanawake Nyumbani

Al-Lajnah Ad-Daaimah
 
 
Ni wajibu kwa wanaume kuswali Ijumaa pamoja na ndugu zao Waislamu katika nyumba za Allaah (Misikitini). Ama wanawake wao hawana Ijumaa na ni wajibu kwao kuswali Adhuhuri.