Swalaah Ya Ijumaa: Wajibu Kwa Imaam Kuwasalimia Maamuma Baada Ya Kupanda Minbari

Ni Sunnah kwa Khatwiyb (wa Ijumaa) kuwasalimia maamuma anapopanda minbari kabla ya kukaa kitako (kusubiri Adhana).