Swalaah Ya Ijumaa: Vipi Kuitikia Kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam)
Khatwiyb (wa Ijumaa) anapomswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), waitikie wanaomsikiliza (Maamuma) bila ya kupandisha sauti.
[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/217)]