Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamme Haijuzu Kuikhalifu Hata Ukikatazwa Na Mwajiri Wako

Al-Lajnah Ad-Daaimah
 
 
Swalaah ya Ijumaa ni fardhi kwa kila mwanamme mwenye kukafilika katika ‘Ibaadah, mkazi, wala haikupasi kuikhalifu kwa sababu ya kazi hata kama mwajiri wako atakukataza.