Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Anayeswalisha Ahli Zake Nyumbani Swalaah Ya Ijumaa

Atakayeswalisha ahli zake Swalaah ya Ijumaa nyumbani, anapaswa airudie kwa kuiswali Swalaah ya Adhuhuri, wala Swalaah (hiyo) ya Ijumaa (walioiswali nyumbani) haisihi kwao.

 

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/196)]