Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Kumuombea Rahmah Anayepiga Chafya Au Kurudisha Salaam Wakati Imaam Anakhutubia

Kauli iliyo sahihi ya ‘Ulamaa ni kwamba, haijuzu kumuombea rahmah anayepiga chafya wala kurudisha salaam wakati Imaam (Khatwiyb) anakhutubia.

 

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/242)]