Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Anayepitwa Na Rakaa Ya Swalaah Ya Ijumaa

 
Anayepitwa na Rakaa katika Swalaah ya Ijumaa, na akaipata Rakaa nyingine, basi aiswali ile Rakaa (iliyompita) na hivyo atakuwa amepata Ijumaa kwa sababu limesihi kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hilo.

 

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/225)]