Swalaah Ya Ijumaa: Hakuna Sunnah Rawaatib Katika Swalaah Ya Ijumaa
Hakuna Sunnah za Rawaatib za qabliyyah (kabla ya Swalaah) katika Swalaah ya Ijumaa. Lakini anaweza kuswali Sunnah atakazo kabla ya kuingia Imaam.
[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/249)]