Swalaah Ya Ijumaa: Haifai Kuzungumza Kamwe Pindi Khutba Ya Ijumaa Inapotolewa
Al-Lajnah Ad-Daaimah
Haifai kwa mtu anayekuweko Masjid kuongea na yeyote yule pindi khutbah ya Ijumaa inatolewa.
Ama Imaam, yeye anaweza kuongea inapombidi kwa lile analoliona lina maslahi.
[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/201, 202)]