Shaykh Swaalih Al-Fawzaan: Mwanamke Alikuwa Mgonjwa Akafariki Naye Hakufunga Ramadhwaan
SWALI:
Mwanamke kasibiwa na maradhi akafariki naye hakufunga Ramadhwaan na wala hakulipa, je alipiwe?
JIBU:
Ikiwa aliacha kufunga swiyaam kwa ajili ya maradhi na akafa kwayo, hana juu yake kitu.
Fataawa Shaykh Al-Fawzaan