Shaykh Al-Ghudayaan: Swawm Na Mazoezi Ya Kiaskari Katika Ramadhwaan

SWALI
Najua kuwa kupigana katika Ramadhwaan haijuzu. Je, hili linahusu pia mazoezi ya Kiaskari (mazoezi ya ngumi n.k.)? 
 
JIBU:
 
Hapana! Mazoezi ya kiaskari hakuna tatizo.