Shaykh ´Abdul-Muhsin Al-‘Abbaad: Anayemfuturisha Mwenye Swawm Ramadhwaan Au Sunnah Anapata Thawabu

SWALI:
 
Hadiyth: "Mwenye kumfuturisha mwenye swawm ana ujira mfano wake." 
Je, Hadiyth imekusudiwa thawabu zake ni khaswa kwa Swawm ya Ramadhwaan? 
 
JIBU:
Ni  kwamba ni Swiyaam zote (anapata mtu thawabu).
 [Bawaabah Al-Haramayni Ash-Shariyfayni]