Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Mtoto Anawajibika Kufunga Swiyaam?

SWALI:
Ipi hukumu Swawm ya mtoto? 
  
JIBU:
 
Swawm ya mtoto kama tulivyosema, ni mustahab (imependekezwa) na si waajib. Mtoto akifunga, anapewa thawabu; na ikiwa ataacha kufunga, hapati dhambi. Hata hivyo, inatakikana kwa mlezi wake kumuamrisha kufunga ili azowee. 
[Fataawaa fiy Ahkaam Asw-Swiyaam, uk. 84]
 
 Email Telegram WhatsApp