Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Akijitoa Manii Swawm Inabatilika Na Je, Anawajibika Kafara?

SWALI:
 
Je, kutoa manii kunabatilisha Swawm? Na je, anapaswa kulipa kafara?
 
 
JIBU:
 
Mtu akitoa manii Swawm yake inabatilika, inabatilika na mtu analazimika kulipa siku hiyo na kufanya tawbah [kwa kuwa ni haramu].
 
Kulipa kafara ni pindi mtu anapofanya jimai wakati wa Swawm.
 
 
[Imaam Muhammad Swaalih Ibn 'Uthaymiyn - Fataawa Arkaanil-Islaam, uk. 478]