Imaam Ibn Baaz: Dawa Ya Mswaki Inabatilisha Swawm?

SWALI:
 
Je, dawa ya mswaki inabatilisha Swawm?
 
JIBU:
 
Dawa ya mswaki haibatilishi Swawm ikiwa atasafisha meno yake kisha ateme bila ya kuimeza. Ikiwa atameza kwa kukusudia, Swawm yake imebatilika