AMEMBUSU MKE WAKE AKATOkWA NA MADHIY MCHANA WA RAMADHAAN
Swali:
kuna mtu amembusu mke wake mchana
wa Ramadhaan ambapo akawG ametokwa na
madhiy. Je, swawm yake inaharibika?
Jibu:
kutokwa na #madhiy peke yake
hakuharibu swawm. Kama ni madhiy peke yake
ndio yametoka hayaharibu swawm
Kinachoharibu swawm ni kutokwa. na #mani.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaam
al-Fawzaan