Imaam An-Nawawiy: Miaka Mingapi Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) Alifunga Ramadhwaan

SWALI:
 
Ni miaka mingapi Mtume (Swala Allaahu ’alayhi wa sallam) alifunga mwezi wa Ramadhwaan?
 
JIBU:
 
Alifunga (Ramadhwaan) miaka tisa. Swawm ilifaradhishwa mwezi wa Sha’baan mwaka wa 2 baada ya Hijrah.
 
[Fataawa Imaam An-Nawawiy, uk. 55]